Enrolment options

SWA1141: Utangulizi wa Lugha ya Kiswahili (DTP)
Semester 1

Moduli hii inahusu Utangulizi wa Lugha ya Kiswahili. Kwa hivyo, ni Moduli inayompa mwanafunzi ujuzi wa kutosha katika kuyaeleza maswala mbalimbali ya lugha na isimu kwa jumla. Ujuzi na uwezo utakaopatikana katika moduli hii utamsaidia mwanafunzi kufafanua kwa kiasi fulani maswala muhimu yanyohusiana na lugha ya Kiswahili na isimu  kwa jumla. Moduli inatarajia pia kueleza vipashio mbalimbali vinavyoijenga lugha, na hata kudhihirisha na kufafanua viwango vya uchambuzi na sifa za lugha kama mfumo wa mawasiliano ya wanadamu. Hivyo basi, viwango vya uchambuzi wa kiisimu na Historia ya Kiswahili vitazumguziwa ili kukidhi haja ya mwanafunzi ya kuelewa lugha na isimu kwa jumla. 

Self enrolment (Mwanafunzi)
Self enrolment (Mwanafunzi)
Accessibility

Background Colour Background Colour

Font Face Font Face

Font Kerning Font Kerning

Font Size Font Size

1

Image Visibility Image Visibility

Letter Spacing Letter Spacing

0

Line Height Line Height

1.2

Link Highlight Link Highlight

Text Alignment Text Alignment

Text Colour Text Colour